0
Rong Song - Wakadinali
0 0

Rong Song Wakadinali

Rong Song - Wakadinali
Africa yoh yoh (Africa, Africa)
Aaaah, wooh yeee
Aaaah, wooh yeee
Aaaah, wooh yeee
Shawry mi hata sina ngori, nimecome na
Open letter na niko sorry, I'm only a month so young
Hata siko 40, nili fall in love bila hata notice
Cheki, mi hucome home nikulonely
Nawasha mic najichocha kufwata calling
Mi huwasha tenje hivi nafwatwa na pongi
Be patient with me, unaeza cope it
Tangu enzi za cockpit kudeal na star wenu sai
Chenye Jah aliwapatia mi joh alinideny
Hope haumind, tangu last year umekuwa
On my mind, adi sai sijai meetingi your kind
Anyway, change topic Sewer joh back to life
Back to life back to life (Africa, Africa)
Yo piga rong rende stamp kwa kifua
Nikona bomb jake utalipua, nimapure ukosure?
Nimapure yeah niko sure
Na ka we ni mlevi enda brewer
Youth tuache crime tufanye bizna
Yo youth tuache crime tufanye bizna
Yo yo youth tuache crime tufanye bizna
Piga rong rende stamp kwa kifua
Nikona bomb jake utalipua, nimapure uko sure?
Ni mapure yea niko sure
Na ka we ni mlevi enda brewer
Youth tuache crime tufanye bizna
Yo youth tuache crime tufanye bizna
Yo yo youth tuache crime tufanye bizna
There is no need to panic ka kila kitu iko shwari
Usinyamaze ka hujui si ufala kuuliza swali
Kwa Mwarez utalingiwa unjapi
Katika hiyo hali kumbe alikuwa msaani
Changli zilifanya youth wa ganlin
Bad man lakini mi huwanga mkarim
We the best jo achana ata na Khalid
Flow tamu hadi inachanganya marines
Tuko kwa parking nyi mko kwa party
Si tuko skuncking tunachill warazi
Tangu zamani sijai vote, na hata staki
Utakula na sisi ama risasi
Ni rahisi rais kunistaki ati, nakula bangi
Wako kwa maofisi ndio hao jo wana saniff
Ukiwa busy utakaa mtiaji
Na nini ganji ka nimedo kazi aah
Mi staki kuingia kwa crime scene
Lakini ikibidi tunakutoka rahisi aah
Sai sai kuna youth amechapisha raha
Blunt kila mahali mbona ulibonga blood
Under 14 but ata kubebea gun
Inakaa hivo ndo system yetu inataka tu act
Piga rong rende stamp kwa kifua
Nikona bomb jake utalipua, nimapure uko sure?
Nimapure yea niko sure
Na ka we ni mlevi enda brewer
Youth tuache crime tufanye bizna
Yo youth tuache crime tufanye bizna
Yo yo youth tuache crime tufanye bizna
Piga rong rende stamp kwa kifua
Nikona bomb jake utalipua, nimapure uko sure?
Nimapure yea niko sure
Na ka we ni mlevi enda brewer
Youth tuache crime tufanye bizna
Yo youth tuache crime tufanye bizna
Yo yo youth tuache crime tufanye bizna
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?