[Chorus: Domani Munga]
Blow me kisses whichever distance
We zirushe hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona
Kila kitu chako napenda
Blow me kisses whichever distance
We zirushe hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona
Lakeside woman, lakeside woman
[Verse 1: Domani Munga]
Yoh nikibuy Vodka Whiskey ndo chaser
Kuna line flani Munga nadai kurudia tena
Nina deng'a kwa vip Rashid Echesa
Hii ndio line siwezi kuwa mcooperative na teller
Mresh ameoga na haringi
Naitwanga rasta mi sina ya bingii
Corona virus na siko China
Man nimekam thru na a simple like man
Ulinifanya nithrive
Nakupenda uko kwa mawazo siku hizi si rhyme
Nilikupenda sana btw thanks
Aftеr kukuwa my partner in chrime
[Chorus: Domani Munga]
Blow me kissеs whichever distance

Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.