0
Utanikumbuka - Harmonize
0 0

Utanikumbuka Harmonize

На этой странице вы найдете полный текст песни "Utanikumbuka" от Harmonize. Lyrxo предлагает вам самый полный и точный текст этой композиции без лишних отвлекающих факторов. Узнайте все куплеты и припев, чтобы лучше понять любимую песню и насладиться ею в полной мере. Идеально для фанатов и всех, кто ценит качественную музыку.
Utanikumbuka - Harmonize
Natamani kuimba pengine ukasikia
Maneno yangu ya mwisho
Ila sauti ndo inagoma yan kama inakwaruza
Ukinitazama macho nimevimba
Nimekesha nalia
Na sijui lini mwisho mwili wa joto na homa
Yani mpka naunguza
Mapenzi hayana dhiaki
Mwenzko nishawaza nifaraki
Ama niende kotini nikashitaki

Kwamba unadhurumu furaha yangu
Mdomoni unamaji we samaki
Asa mbona ata kusema hutaki
Ama ndo nataka sitaki
Ina maana huzioni jitihada zangu
Pengine donda nilokupa limefuta upendo
Unajaribi kujilazimisha
Mengine unafanya kuniridhisha
Mwilii umekonda umebaki mifupa
Kulilia upendo basi moyo rudisha
Kama umenisamehe na yameisha
Kinyonge najiuliza bila majibu
Wapi ninapoharibu

Kina nachojaribu hakikupendezi
Utanikumbuka mpenzi uta
Utanikumbuka mpenzi utaa
Utanikumbuka mpenzi utaa
Mana wapo watakao kukosea
Na wasikili kosa (utanikumbuka mpenzi uta)
Umri wetu tunawaza kukuchezea hakuna wakukukosa eeh
Комментарии (0)
Минимальная длина комментария — 50 символов.
Информация
Комментариев пока нет. Вы можете быть первым!
Войти Зарегистрироваться
Войдите в свой аккаунт
И получите новые возможности