Haha
Hey Motif what'up
Got the OG up in the place

Ayo Petra what happenin

Yah
Tuko chonjo mwanangu
Niko na the OG too beside me
Nyama choma ndio favourite
Tukichapa hizi maraundi
Ni masoda baridi
Tuna roll tukiwa wawili
Si vioja sisi halisi
Niko finer than diamonds
Nimekuja na utamu ka sweet
Hii ni ya wale mafisi
Kuringa lazima inabidi
Samantha mwenyewe hafikii

Yo Petra chill out
Unanikill ukibonga stori ya Samantha
Kwani vipi? kaa ni swali then Khali si ako na answer
Tell the fans to get them hands up
Ain't nobody taking chances
Nawataka niwapeleke mitini nini
Mimi mpaka watoe ransom
I'm a die hard nigga don't test me
Papa na me si deadbeat
OG na me narep East
Kayole is where you go get me
All black toka juu mpaka chini
Hawa mafala wanataka nini
Me narap utadhani ninafuata dini
Hii ni damage huwezi kunipata mimi
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?