Aisha, Aisha, Aisha
Mzuri kama kachorwa
Body kakupa Mola
I'm like my oh my
Macho yake yanavyong'aa
Just like a candle light
Lips zake zilivyo lowa
Akizing'ata, like my oh my
Ngozi yake inavyometameta
Kama shima
Hivi we unadhani, nakutamani
Ila, nipo interested zaidi ya vile, unavyodhania
Can I be your company
Nina machache ya kukuambia, wouwoo ah

Coz I need you in my life
I'm tryna find me a wife
And you look just like her type
You look like just my type
I swear this love is first sight
Coz you're such a beautiful woman
Woman, woman
Would you be my one and only woman
Woman, woman, Aisha
Aisha, param-param pampare
Aisha, param-param pampare
Aisha, param-param pampare
Aisha, parara parara pararara pararara
Aisha, param-param pampare
Aisha, param-param pampare
Aisha, param-param pampare
Aisha, parara parara pararara pararara
Mzuri kama kachorwa
Kiuno kama dondora
I'm like my oh my
Na hivyo vimacho vyake ka gololi
Anavyovirembua
Her body shape like a cola
I go spend all my dollar
I'm tryna make you mine
Na hizo pozi zake ka mdoli
Anavyojishaua
Nishajaribu kupapasa
Dar es Salama, Nairobi hadi Mombasa
Sijamwona mpaka sasa
Wa kufanana huo mshepu sasa
Iyee! Maneno manung'uno na chuki
Eti mara kiuno amechongesha Uturuki
Huwajibu hukurupuki
Penzi lako ni asali na mi ndo nyuki
Kelele zao za chura
Hazininyimi tembo kunywa maji
Watasema mchana
Na usiku watalala
Umebarikiwa sura
Kwenye shindano la warembo
Acha nikupe taji
Kwanza bado kijana kifuani hapajalala
You're are such a beautiful woman
Woman, woman, woman
Could you be my one and only woman
Woman, woman, mwenzako Aisha
Aisha, param-param pampare
Aisha, param-param pampare
Aisha, param-param pampare
Aisha, parara parara pararara pararara
Aisha, param-param pampare
Aisha, param-param pampare
Aisha, param-param pampare
Aisha, parara parara pararara pararara
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?