[Intro]
Iyoo Lizer

[Verse 1: Harmonize]
Hmm
I wish ningekuwaga na mavumba
Mkwanja manoti
Nikuhonge vya thamani
Ama, niwe fundi wa kuigiza ka' Kanumba
Masanja Joti usiwe mbali nami
Hmm
My darling, I need you love, oh
Uwe nami haki ya Mungu nakupenda
Nobody can show you love, oh
Usiwaamini ukishawapa wanakwenda

[Pre-Chorus: Harmonize]
Oh, basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (iyelewi)
Deka nikudekeze nikutunze kama mboni (iyelewi)
Wakija wapoteze jifanye kama huwaoni (iyelewi)
Kisha uniongeze ulivyofunzwa unyangoni (iyelewi)

[Chorus: Harmonize]
Oh, baby
Asa dansi nikuone (kwa ngwaru)
Wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Ololu Femi (kwa ngwaru)
Oh, baby
Asa cheza nikuone (kwa ngwaru)
Wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?