0
Mpenzi Jini - Zanton
0 0

Mpenzi Jini Zanton

Mpenzi Jini - Zanton
Siku moja nimelala nikaota kwamba demu ananiita
Uzuri wake mfano hakuna
Akasema kwamba ananipenda sana, alafu akanachia namba
Kiganjani mwangu alafu akapotea
Hakusema kwamba anaitwa nani! Hakusema kwamba anatokea wapi!
Alichosema yeye eh, siku moja tutaonana
Hii kwa ndoto ikakata, nikashtuka, mara simu yangu ikaita
Nikapokea nikasika kiss halafu akasema, "Z sikiliza
Ujue nakupenda sana, ujue siwezi kukutenda ah
Ila naomba utambue mimi ni Jini" hapo akakata simu

Anasema ananipenda (ananipenda ah)
Anasema hatonitenda (hatonitenda)
Anasema ananipenda
Jini, Jini ananipenda sana mimi
Anasema ananipenda (ananipenda ah)
Anasema hawezinitenda (hatonitenda)
Anasema ananipenda
Jini, Jini ananipenda sana, ah-ah
Anasema ananipenda, baе-baby
Anasema hatonitenda, bae-baby
Anasеma ananipenda, bae-baby, ay
Anasema hatonitenda, ye-e-eh

Mpaka pete kashanivalisha, ah
Aliniya-amini, yeye kwangu amefika
Mpaka pete, eh, kashanivalisha, ah
Aliniya-mini, mm, yeye kwangu amefika, ah
Asa kila saa ananifata
Anahitaji jibu mi' kumpa
Ukweli kwamba ni mzuri
Ila kumjibu, moyo unasita
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?