[Intro: Kidum & Otile Brown]
Oooh, yeah
Oh, oh, oh, yeah, yeah, allright

[Verse 1: Otile Brown & Kidum]
Anaye itaka, hapati
Alijaliwa akiithamini...
Iii-iii
Mmm
Hakika mwanamke akipenda kweli
Atapigana vita vingi, ainusuru penzi
Hivi unampendea nini?
Wakati kila kutwa ana kuliza
Unang'ang'ania nini?
Ni dhahiri subira heri itovuta
Wanaume wengine ni kama nguo nzuri, uki-try mwilini haikai
Hawamaanishi wasemacho, ni waongo hawafai
If I was your lover
Mmm
Ninge thamini penzi lako
Una stahili bora, mwanamke anahitaji matunzo

[Chorus: Otile Brown]
Leila
Leila (Woo, woo, woo)
Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo
Aye
Leila
Leila (Oh, Leila)
Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?