0
Freestyle - Wakadinali
0 0

Freestyle Wakadinali

Freestyle - Wakadinali
Wizi imekua legal na bado
Wanajiona ronald reagan
Ati unaeza macho cigar
Lakini usimarwe na ki ingwa
Tuko ching don na clique
Tumetoka kunyweta pima
Ka una point tuma pin
Tutakutokea na pinpoint kwa marima
Seaboat tuliskia three shots
Maidhaa ya magizan around saa tisa
Big coat ndio niweze jificha
Incase kwa rodi kuna mbaru inapita
Mamu usismame kwa speaker
Hivyo ndo si hujua zako zimeshika
Hata step dunda kwa pickup
Hesabu ulipiga ni ka hazikufika
Ningejoin NACASA kufight hii shit
Lakini bado ningekua pande ya weed (aje, aje)
Wanideport ka Harun Aydin
Alafu wadai venye sina ID
Biz ni ya nini
Kama haiingizi ganji adi siradi
Come clean ukiingia westy lakini
Ukiwa D make sure umejipin
Mi uhama na pedi spendi
Ile maidhaa napiga na hapick
Mr masensi wikendi nyi mkiikata
Mi nko masplif
Mweke kwa payslip msome na
Akicheza na ganji yako mkill
Unatukujia uki creep na unakam kwa crib
Ona sa ulimadwa ukisteal
Bro hakua na pen kwa penn
So ilibidi amechora kwa ukuta
Daniel kwa den na skeng
Naona kuna mtu mmoja atanyuria
Mtoto peng lakini huezi amini
Vile anakula ki gunga
Fist fight unakuja na kucha
We ni mwere naona utanyuria
Rizla na stula kwa dealer
Ooh my God naskia zimeisha
Mzinka na unamkula kwani
Umekua ka kabi wa jesus
Wadhii ndio unaeza nikuta
Nikichagua ma luku diriba
Sewer ako piwa labda kwa Dau
Anachemsha birika
Neighbor always atawapima juu ako
Kwa payroll yangu ma gizan
Nmetoka kuanua ma timba na ata
Sjapay loan ya ma teacher
Nadondokea masimba from 17 to 14 seater
Kuondokea magirimba wamekua
Wakinifuata nyuma na dinga
2 Year old alipigwa kuni kama
Kisauni hii mtaa ina uhuni
1 Man sitembei na kikundi
Kama ni yako iwache itarudi
Riomo alifinyiwa ngumi akararuka
Sahii amegeuka fundi
Nataka Oscar ka sudi
More Cash kama Joshua Kutunyi
Phone snatched hapo
Street luthuli spoon fully
Jeshi ya koto haitaki kuona ku-fuli
Effect ya kua msoto but
Sazingine pia ni upuzi
Stupid ali hand over
Skuizi tunawaita he-ss-y
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?