Nina Siri Israel Mbonyi
On this page, discover the full lyrics of the song "Nina Siri" by Israel Mbonyi. Lyrxo.com offers the most comprehensive and accurate lyrics, helping you connect with the music you love on a deeper level. Ideal for dedicated fans and anyone who appreciates quality music.

Nina siri naye Yesu yanifanya niwe jasiri
Kwa amani nayo dhiki yanifanya niwe jasiri
Yaniburudisha nikirukaruka hossana amen
Yaniburudisha nikirukaruka niki imba hossana amen
(Nina siri naye Yesu yanifanya niwe jasiri

Yaniburudisha nikirukaruka niki imba hossana amen)
Wambie wanaolia wakiteswa na malimwengu;
Waonjeni neema yake na rehema yake mwokozi
Watafunguliwa, watawekwa huru wakiimba hossana amen

Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.