[Intro]
Mmmh mmh mmh mmh
Mmmh mmh
[Verse 1]
Busara na upole
Na hekima nilorithi kutoka kwa mama yangu, mama
Vyote haukuvijali
Ukaona silingani kabisa kuwa na wewe
Akuti na Mkole
Ukakata kabisa na shina la penzi langu, nana
Eti kisa mali
Ukaona bora uniache mimi na uolewe
[Pre-Chorus 1]
Ile siku shekhe namuona anachoma ubani
Unavishwa pete unakuwa mke wa fulani
N'liumia sana
Sana...
Ile siku shekhe namuona anachoma ubani (uh huh)
Unavishwa pete unakua mke wa fulani (uh huh)
Niliumia sana
Mi niliumia sana, sana
[Chorus]
Tatizo kwetu Mbagala
Hapa nyumba mbele jalala
Tatizo kwetu Mbagala
Ukaona mapenzi siwezi
Tatizo kwetu Mbagala
Hapa nyumba mbele jalala
Tatizo kwetu Mbagala
Ukaona mapenzi siwezi
Mmmh mmh mmh mmh
Mmmh mmh
[Verse 1]
Busara na upole
Na hekima nilorithi kutoka kwa mama yangu, mama
Vyote haukuvijali
Ukaona silingani kabisa kuwa na wewe
Akuti na Mkole
Ukakata kabisa na shina la penzi langu, nana
Eti kisa mali
Ukaona bora uniache mimi na uolewe
[Pre-Chorus 1]
Ile siku shekhe namuona anachoma ubani
Unavishwa pete unakuwa mke wa fulani
N'liumia sana
Sana...
Ile siku shekhe namuona anachoma ubani (uh huh)
Unavishwa pete unakua mke wa fulani (uh huh)
Niliumia sana
Mi niliumia sana, sana
[Chorus]
Tatizo kwetu Mbagala
Hapa nyumba mbele jalala
Tatizo kwetu Mbagala
Ukaona mapenzi siwezi
Tatizo kwetu Mbagala
Hapa nyumba mbele jalala
Tatizo kwetu Mbagala
Ukaona mapenzi siwezi
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.