0
Poverty (Swahili Version) - Yemi Alade (Ft. Funke Akindele)
0 0

Poverty (Swahili Version) Yemi Alade (Ft. Funke Akindele)

Poverty (Swahili Version) - Yemi Alade (Ft. Funke Akindele)
Ooh yeye yeye yeye aah ah
Ooh yeye yeye yeyee yee eh
Oh ooh oh
No no no no no no

Sitaki umasikini maishani hapana oh
Sitaki umasikini maishani hapana oh
Sitaki umasikini maishani
Umasikini maishani
Umasikini maishani hapana oh

Nasema hapana, hapana aah
Sema hapana, hapana aah
Nasema sitaki (no no no no no)
Mi sitaki (no no no)
Ay hapana aah


Thamani yangu masaa nitatumia vyema oh
Baba Mungu kanibariki nitatumia vyema oh
Hesabu baraka ndugu yangu
Oh dada yangu
Zitaje moja kwa moja

Umasikini ni ugonjwa na sitaki kugonjeka
Yahweh yuko na sisi, shida hutuhepa sisi
Woyo yo, woyo yo
Baraka zazidi kunifuata
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?