Eey yoh yoh
Man a driller
Niko na riba hapa nataka kuwachapia
(HR pump iyo track bana)
[Intro]
Beshte amechambua na akona lotta great ideas
But hanako tukis utadu what? Kuwaibia
Naongelelea about my peers
Walikuwa hata Dusit last year
Extremist wataji pa! pa! pa! pa! bila hisia
Beshte amechambua na akona lotta great ideas
But hanaku tukis utadu what? Kuwaibia
Naongelelea about my peers
Walikuwa hata Dusit last year
Extremist wataji pa! pa! pa! pa! bila hisia
[Verse 1]
Vojas walitoka home Friday ati kwenda mosque
After Swalla akabaki nyuma juu mtaa hana kuplot
Sheikh alimwonea huruma
Akamuuliza kwani what's wrong
Sina dooh, sina dooh na mtaa joh hanaku form
Nimesomea upilot na naonyeshwa ati kuna wera Som
So ka una rada insha'Allah, insha'Allah
Nishikanishe joh
Nimechoka kubaki home
Familia yangu joh inataka dooh
Shika namba nihalla nihalla ka uko ready yoh
There is no need for you to suffer alone
We are hеre bro
Uncle yangu ako na dooh lakini hata
Hawezi nipatia loan
So ndo maana nataka kwеnda abroad
Ama hio wera Som
So ndo maana nataka kwenda abroad

Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.