[Intro: Kamaa]
Na-dedicate-ia hii
Ma-hero wote wa Kenya
Kila mtu ame-struggle na hako paid for
Hii ni time ya kuwa paid for
Revolution na ma-comrade

[Hook: Winyo]
Najua unachotaka
Najua unapoenda
Najua wataka haki yako
Angalia saa
Angalia saa
Najua unachotaka
Najua unapoenda
Najua wataka haki yako
Angalia saa
Angalia saa
Wewe ni shujaa

Machozi yako
Yananivunja moyo
Mbona sasa
Dunia imekutupa
Angalia saa
Angalia saa
Wewe ni shujaa
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?