Oh my God it's my birthday
Oh my God it’s my birthday hey (Happy Happy)
Happy birthday to me (Happy Happy)
Happy birthday to me (Happy Happy)
Siku nyingine ya furaha
Am so Happy Happy Happy (Happy Happy Happy)
Mwaka mwingine nimevuka
Am so Happy Happy Happy (Happy Happy Happy)
Asante mama, asante sana kwa kunizaa
Upendo wako moyoni mwangu hutochuja
Siku kama leo ulimwaga chozi la furaha
Mtoto wako damu yako nimekuja
Niko na marafiki (Ahee)
Kuna zawadi (Ahee)
Twacheza mziki (Ahee)
Wanamwaga maji
Basi post picha yangu (Ahee)
Niletee na keki yangu (Ahee)
Tufurahi ndugu zangu (Ahee)
Maana leo ni siku yangu
Oh my God it's my birthday
Oh my God it's my birthday hey (Happy Happy)
Happy birthday to me (Happy Happy)
Happy birthday to me (Happy Happy)
Oh my God it’s my birthday hey (Happy Happy)
Happy birthday to me (Happy Happy)
Happy birthday to me (Happy Happy)
Siku nyingine ya furaha
Am so Happy Happy Happy (Happy Happy Happy)
Mwaka mwingine nimevuka
Am so Happy Happy Happy (Happy Happy Happy)
Asante mama, asante sana kwa kunizaa
Upendo wako moyoni mwangu hutochuja
Siku kama leo ulimwaga chozi la furaha
Mtoto wako damu yako nimekuja
Niko na marafiki (Ahee)
Kuna zawadi (Ahee)
Twacheza mziki (Ahee)
Wanamwaga maji
Basi post picha yangu (Ahee)
Niletee na keki yangu (Ahee)
Tufurahi ndugu zangu (Ahee)
Maana leo ni siku yangu
Oh my God it's my birthday
Oh my God it's my birthday hey (Happy Happy)
Happy birthday to me (Happy Happy)
Happy birthday to me (Happy Happy)
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.