[Instrumental]
[Intro]
Nilimarwa nyuma ya bafu na odi joh (yoh)
Kuingizwa staffo nikamtoka pori yoh
Is this your girl dude?
Yoh, I'm sorry bro
Nilikuwa nikiingia high school
Naguzisha chogi anaacha uso
Pesa ni sabuni ya roho
Nikiwa mzee nitashika more
Pressure ya leo tunaiskuma moro
Hatutaki uso
Hatutaki uso
Hatutaki uso
Hatutaki uso
[Verse 1]
Weed is so good
I wish wangejua hivo
Wasee kama willis raburu
Mi ni bazu tuko streets
Hatuko kambi na hatuko kwa mbulu
Magagu wako biz
Hawataki tena kwenda
Kusimama kwa mbao maduu
Camp yetu ina mullah
Kidogo ata tufikirie kurecruit Karun
Splash them wet
Wakae ni kama wametoka kwa pool
Wako na games wanafaa
Wacheki carol radull
Energy mingi kushinda redbull
Come near utapigwa mangumi
Semaji biggie naona uko na pretty mama
Ametoka majuu?
Mi niko na ganja
[Kuna pill imeland?]
[Anajuana juu ya Nirvana?]
Best topic ni ya kuvaana
Hivyo ndio jana walimada kamwana
Marapper wengi wanafanana
Kwa hii drill
Guess who's their father?
Wengine walishindwa kuipata
Next thing naskia (yoh, yoh) anapiga my cover
[Intro]
Nilimarwa nyuma ya bafu na odi joh (yoh)
Kuingizwa staffo nikamtoka pori yoh
Is this your girl dude?
Yoh, I'm sorry bro
Nilikuwa nikiingia high school
Naguzisha chogi anaacha uso
Pesa ni sabuni ya roho
Nikiwa mzee nitashika more
Pressure ya leo tunaiskuma moro
Hatutaki uso
Hatutaki uso
Hatutaki uso
Hatutaki uso
[Verse 1]
Weed is so good
I wish wangejua hivo
Wasee kama willis raburu
Mi ni bazu tuko streets
Hatuko kambi na hatuko kwa mbulu
Magagu wako biz
Hawataki tena kwenda
Kusimama kwa mbao maduu
Camp yetu ina mullah
Kidogo ata tufikirie kurecruit Karun
Splash them wet
Wakae ni kama wametoka kwa pool
Wako na games wanafaa
Wacheki carol radull
Energy mingi kushinda redbull
Come near utapigwa mangumi
Semaji biggie naona uko na pretty mama
Ametoka majuu?
Mi niko na ganja
[Kuna pill imeland?]
[Anajuana juu ya Nirvana?]
Best topic ni ya kuvaana
Hivyo ndio jana walimada kamwana
Marapper wengi wanafanana
Kwa hii drill
Guess who's their father?
Wengine walishindwa kuipata
Next thing naskia (yoh, yoh) anapiga my cover
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.