(It's S2kizzy beiby)

Maboya wanateta, kama mi napeta
I'm making my paper (Making my paper)
Sijachana mikeka mifuko imecheka
Sa mwendo wa mateka

Mikono juu (Eeh), mikono juu (Eeh)
Mikono juu (Eeh), mikono juu (Eeh)
Mikono juu (Eeh), mikono juu (Eeh)
Mikono juu (Eeh), mikono juu (Eeh)

- wanataka battle ila mi nawaweza
Hata kucompare
The rap heat na ndo zinazo tamba on air
King juu ya chain, dollar ju ya udone air
So ukiwasha moto so kiki wanajua wanakuchochea

Cause I've killing rappers kama nyinyi
Na sio peke yako labda uje na wenzako themanini
Maana mie peke yangu kama rappers mia
Na nyinyi sitini
So uje na rappers wote ambao wanabeef na mimi

Si funny huwa sichekagi na adui vitani
Mi na shetani akiskia beat ananipanda kichwani
Na mama zako siku zote wanadata na fani
Watachana ila kupendwa na mavijimama ndo sidhani
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?