0
Dharau - Ibraah (Ft. Harmonize)
0 0
Dharau - Ibraah (Ft. Harmonize)
Bomboclaat
Chinga again
Konde music worldwide

Mungu alonipa ukilema hawezi nunyima mwendo
Na Sikupanga imenibidi kulivua pendo
Maana mwanzo nilidhani utabadilika
Of course hakuna aliekamilika
Masaaa masiku miaka imekatika
Nachukia kujiona nikilalamika

Bora ugali dagaa kwenye amani
Kuliko wali nyama vitani
Mateso vitimbwi kurupushani
Kama unajiona kichwa shingo nani

Bora ugali dagaa kwenye amani
Kuliko wali nyama vitani
Mateso vitimbwi kurupushani
Kama unajiona kichwa shingo nani mi sipendi

Dharau, Manyanyaso
Dharau, Masimango
Dharau, Manyanyaso
Siweziii siweziii
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?