[Verse 1: Otile Brown]
Na toto kanikosha
Fundi aki ya mungu anajua adi anachoshwa
Toto zinapiga bila kuonga
Yah kwake ujanja sina kanichuma kama mboga
Nipe kwenye kiti kwenye sofa
Kitanda cha malova
Mama hiyo tight ulivyoijazagaa
Taratibu mama usije ukachana
[Pre-Chorus: Otile Brown]
Nitamutoza baby closer
Oh mama take your clothes off
Let's make love in a Rover
[Chorus: Otile Brown and Sanaipei Tande]
Inama kio kidogo (Aiyana)
Fanya kama unapiga deki (Aiyana)
Becky gimmie some cake (Aiyana)
God bless your mama Aiyana, hey!
The way you move your waistline Aiyana-na-na mmh mh
God bless your father Aiyana, hey!
Umogo magharibi baby Aiyana-na-na mh
Basi tegemusha rusha kidinti
Nasema teghemusha rusha kidinti
Nasema teghemusha
Na toto kanikosha
Fundi aki ya mungu anajua adi anachoshwa
Toto zinapiga bila kuonga
Yah kwake ujanja sina kanichuma kama mboga
Nipe kwenye kiti kwenye sofa
Kitanda cha malova
Mama hiyo tight ulivyoijazagaa
Taratibu mama usije ukachana
[Pre-Chorus: Otile Brown]
Nitamutoza baby closer
Oh mama take your clothes off
Let's make love in a Rover
[Chorus: Otile Brown and Sanaipei Tande]
Inama kio kidogo (Aiyana)
Fanya kama unapiga deki (Aiyana)
Becky gimmie some cake (Aiyana)
God bless your mama Aiyana, hey!
The way you move your waistline Aiyana-na-na mmh mh
God bless your father Aiyana, hey!
Umogo magharibi baby Aiyana-na-na mh
Basi tegemusha rusha kidinti
Nasema teghemusha rusha kidinti
Nasema teghemusha
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.