Soundboy

Oh mi amor

I was waiting for that day to make a big promise of love
Love, love, love
Mm
Please, believe what am going to say
Am so deep down, down in the sea of love
Love, love, love

Mapenzi matamu unayonipa
Yameninogeaa
Yamenikoleaa
Bila wewe siwezi fahamu nimefika aah
Nimekuzoea
Nimekuzoea

Sema kama kiss ninunue
What you want girl
Wapi panawasha nikuchue
Wenye wivu wasitusumbue
Tena watutue
Nikija kukuacha babe waje waniue

Ona ka mrembo
Ona ka mchumba
Kalivyo kazuri na tena kana aibu
Aah eh
Nikikaangalia kanaonaga aibu
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?