[Intro]
Uka haha hakuhe na nie
Kairetu, kairetu ka mummy
Kairetu ka daddy
(Mmmmm)
Kairetu ka mummy
Kairetu ka daddy
[Chorus]
I'm a simple man with a simple plan
Lady, hold my hand and you will understand
What it means, to live in a simple world
What it means, what it means to love someone
[Verse 1]
Mwanzo najua mapenzi hayaliwi
Mimi ni mwanaume nitajitahidi
Hata choo nitaosha ikibidi
Na itakuwa siri ya watu wawili
Mi na wewe tu na jambo la pili
Nitakupa akili, moyo na mwili
Kwani wewe niwe unayestahili
Kunyunyuziwa penzi langu kikamili (Yeah)
Uka haha hakuhe na nie
Kairetu, kairetu ka mummy
Kairetu ka daddy
(Mmmmm)
Kairetu ka mummy
Kairetu ka daddy
[Chorus]
I'm a simple man with a simple plan
Lady, hold my hand and you will understand
What it means, to live in a simple world
What it means, what it means to love someone
[Verse 1]
Mwanzo najua mapenzi hayaliwi
Mimi ni mwanaume nitajitahidi
Hata choo nitaosha ikibidi
Na itakuwa siri ya watu wawili
Mi na wewe tu na jambo la pili
Nitakupa akili, moyo na mwili
Kwani wewe niwe unayestahili
Kunyunyuziwa penzi langu kikamili (Yeah)
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.