[Refrain: Mwasiti & Ali Kiba]
Si mama wote wakina mama (Tudd Thomas)
Si mama wakina baba
Na tusimane wote vijana
Kwa pamoja wote si mama... (kuilinda Tanzania)

[Chorus: All]
Tushikamane, wote tusonge mbele
Tushikamane mikono tusonge mbele
(Nyumbani, nyumbani)
Tushikamane, wote tusonge mbele
Tushikamane mikono tusonge mbele
(Nyumbani, nyumbani)

[Verse 1]
Linex:
Tazama ramani utaiona nchi nzuri
Yenye mito na milima
Mabonde ya nafaka
Kama maziwa tunayo (hey)
Bahari tunayo (hey)
Vity vyote tunavyo
Vya kupendeza macho

Mwasiti:
(Tanzania)
Faraja taifa langu (ooh ooh)
Lenye uhuru wake wenye amani (amani, amani)
Tazama tunavyojisikia amani (ooh ooh)
Tunavyo hapa nyumbani (nyumbani, nyumbani)
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?