[Verse 1]
Agaah!
Ati niende kwa mganga
Ntoe doti za kanga
Ama nikufunge kamba
Ntadanganya mie eeh!
Aah!
Nyumbani nifuge mamba
Mara mlinzi kwa panga
Kuchunga usije danga
Uwongo nisikwambie
[Bridge]
Hhhmm!
Moyo wangu
Usiufanye njia ooh!
Ukapita
Ooh! nitaumia
Shamba langu
Wakanivunia Ooh!
Yote tisa
Ukanibeza na kukimbia
Tena unga ujengezi
Usitishe na sanaa
Ukaninyima malezi
Nikakosa hata raha
Aah!
Nikaanza kuvunja nazi
Kutwa kuchwa kafara aah!
Nililie kipenzi
Yakukunda Ooh!
Karaha
Agaah!
Ati niende kwa mganga
Ntoe doti za kanga
Ama nikufunge kamba
Ntadanganya mie eeh!
Aah!
Nyumbani nifuge mamba
Mara mlinzi kwa panga
Kuchunga usije danga
Uwongo nisikwambie
[Bridge]
Hhhmm!
Moyo wangu
Usiufanye njia ooh!
Ukapita
Ooh! nitaumia
Shamba langu
Wakanivunia Ooh!
Yote tisa
Ukanibeza na kukimbia
Tena unga ujengezi
Usitishe na sanaa
Ukaninyima malezi
Nikakosa hata raha
Aah!
Nikaanza kuvunja nazi
Kutwa kuchwa kafara aah!
Nililie kipenzi
Yakukunda Ooh!
Karaha
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.