[Intro]
Ayolizer

[Verse #1: Diamond Platnumz]
Kukudekeza kama mtoto
Furaha unafurahia
Alafu geuka moto
Machozi unalia
Mwembamba mwenene
Uwe na pesa kama Dangote(Dangote)
Penzi halijali umasikini
Laweza penda mtu yoyote
Penzi sio somo
Ukasome kwa kitabu
Penzi limefanya Harmonize
Afukuzishe Mwarabu
Penzi oyoyo
Limeleta kwa wanangu vita
Siku hizi siwaoni
Naishia kuwalike Insta
Hivo asiyekupenda
Achana naye
Anayekupenda
Pendana naye
Mambo stress
Ya nyumba ndani
Ebu cheza ufurahi
Kama songi limekolea
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?