0
Huu Kijana - Wakadinali
0 0

Huu Kijana Wakadinali

Huu Kijana - Wakadinali
[Chorus: Domani Munga]
Yoh, all along all along wanaliutifin east, hizi streets huu kijana
Haah, ati tuko level moja we unadhani we ni mrazi na hatubanji area jamo na hatujuani
Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo na hii pose ina-glow huu kijana
All along all along wanaliutifin east, hizi streets huu kijana
Haah, ati tuko level moja we unadhani we ni mrazi na hatubanji area jamo na hatujuani
Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo na hii pose ina-glow huu kijana

[Verse 1: Domani Munga]
Ha, ha, ah, tangu zile vako those days
Hata nakunjiva still na bado wako njeits
Ha, no filter nikikemba menje
High school nilikuwanga Dr. Mwenje
We jua, ha, uko inje
Ndio nijiumize kichwani labda finje finje
Aaaayy, hii ndio life ya jiji, nguna ka ni poko halali kwa baridi
Nditni, speedy, mristi, mdigi we ain't kiddin' kwani we ni chizi nini?
Blinking nini, bling bling mingi mangiri nikro denge danger dingy
Uh, God bless the king, long live the queen
Skylarkin' bila Clarks mi si Aladdin
Zozanga bad B kama kawa mi ni zing
Dr. Ring ding "brrrrr" this a daily thing

[Chorus: Domani Munga]
Yoh, all along all along wanaliutifin east, hizi streets huu kijana
Haah, ati tuko level moja we unadhani wе ni mrazi na hatubanji area jamo na hatujuani
Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo na hii pose ina-glow huu kijana
All along all along wanaliutifin east, hizi streets huu kijana
Haah, ati tuko lеvel moja we unadhani we ni mrazi na hatubanji area jamo na hatujuani
Hadi abroad, daily broads na mabros na magambo na hii pose ina-glow huu kijana
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?