[Intro: Nay Wa Mitego & Diamond Platnumz]
QS
Trueboy (Seductive Records)
Trueboy's in the building, baby
Trueboy
Wasafi
[Chorus: Diamond Platnumz & Nay Wa Mitego]
Ah
Hivi nyi ma MC
Mnachoimba kitu gani
Mara bangi mara Matusi sa ndo muziki gani
Hii no hip-hop, H-O-P (Trueboy)
Muasisi wa burudani (uhn)
Tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane pua nyumbani
Ah
Hivi nyi ma MC
Mnachoimba kitu gani
Mara bangi mara Matusi sa ndo muziki gani
Hii no hip-hop, H-O-P (Trueboy)
Muasisi wa burudani (uhn)
Tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane pua nyumbani
[Verse 1: Diamond Platnumz & Nay Wa Mitego]
Hata bibi yangu mi aliniambia
Mwanamke anahitaji kubembelezwa
Kupetipeti matunzo pia
Ukienda rafu utampoteza
Muziki ni mfano wa binti muzuri
Na ndio maana namtunza kwa vazi na uturi (uhn)
Ah, piga kimya
We ndo haufai kabisa hauna maana
Wabana pua kila siku mnarogana
Bibi yako alikuambia muziki ni kama binti
Mbona unawachezea unawatema kama Big G
Mara Wema, mara Joketi, mara Naj, mara Penny
Je mnafanya muziki mpati mbinti
Ooh ooh...
Hata waze wazamani
Walishasemaga kazi na dawa
Chamuhimu jukwaani
Ni kuhakikisha wanapagawa
Kwa michezo ya kuringa ringa
Ndo hawa wanadata...
Badilika usiwe mjinga
Utawakamata...

Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.