0
Malaika (Original single 1974) - Miriam Makeba
0 0

Malaika (Original single 1974) Miriam Makeba

Malaika (Original single 1974) - Miriam Makeba
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika

Pesa zasumbua roho yangu
Pesa zasumbua roho yangu
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika

Kidege, hukuwaza kidege
Kidege, hukuwaza kidege
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika

Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
WoO. Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
WoO. Ningekuoa Malaika
Ningekuoa Malaika
Ningekuoa Malaika
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?