(Afvrika!)
[Hook: Sir Bwoy]
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
[Bridge: Domani Munga]
Alikam na kinini? kiturutututu!
Kam na kinini? Kibuguduguboom
Kam na kinini? Ki Sh! Sh!
Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha!
Alikam na kinini? kiturutututu!
Kam na kinini? Kibugudugudu!
Kam na kinini? Ki Sh! Sh!
Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha!
Na imejaa!
[Verse 1: Domani Munga]
Kibugudugudu! my guy hii si toy
Ziwa Hurush na mi najienjoy
Tuliwabumbrush H-Kiamaiko
Buruklyn na mi si boyz
Sina jongo sina form sina cheda
Bila mbesha still ma-chargie walichuna
Ngeus una matress kwako sema form
Munga mjinga niko zone
Past curfew magiza niko biz
Smady Ting alikujia magiz giz
I’m sorry ilidim, am sorry nimediiim
I’m sorry ilidim, am sorry imedim
Am sorry ah! ah! aiii!
[Hook: Sir Bwoy]
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
[Bridge: Domani Munga]
Alikam na kinini? kiturutututu!
Kam na kinini? Kibuguduguboom
Kam na kinini? Ki Sh! Sh!
Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha!
Alikam na kinini? kiturutututu!
Kam na kinini? Kibugudugudu!
Kam na kinini? Ki Sh! Sh!
Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha!
Na imejaa!
[Verse 1: Domani Munga]
Kibugudugudu! my guy hii si toy
Ziwa Hurush na mi najienjoy
Tuliwabumbrush H-Kiamaiko
Buruklyn na mi si boyz
Sina jongo sina form sina cheda
Bila mbesha still ma-chargie walichuna
Ngeus una matress kwako sema form
Munga mjinga niko zone
Past curfew magiza niko biz
Smady Ting alikujia magiz giz
I’m sorry ilidim, am sorry nimediiim
I’m sorry ilidim, am sorry imedim
Am sorry ah! ah! aiii!
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.