0
Atarudi - Harmonize
0 0

Atarudi Harmonize

Atarudi - Harmonize
[Verse1]
Na ye ni mwanadamu, Na dunia tunapita
Kama kupata kwa zamu, Oooh Zamu, Yangu itafikaa
Siwezi kana damu, Kesho wataja nizika
Ila ningependa afahamu, Haya mateso aloniipa

[Bridge]
Mmmh.! Tena mwambieni aloninyima mimi, Ndio kampa yeyee eeeh
Kupata foleni, Nasubiri yangu mimi, Hata icheleweeeeh

[Pre-Chorus]
Oooh Oooh Ooooh
Sina furaha naigiza ilimradii, Watoto wasijihisi vibaya
Huyu mdogo anauliza Eti Daddy, Mama ameihama kaya
Cha kujibu sina nabaki tu kusemaaaaa

[Chorus]
Atarudii, Atarudi mama
Atarudi, Anawapenda sana
Atarudi, Atawaletea zawadi
Atarudi, Eeeeh Atarudi mama
Atarudi, Atarudi mama
Atarudi, Anawapenda sana
Atarudi, Atawaletea Zawadi
Atarudiiiiih
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?