0
G.O.A.T. - Nyashinski
0 0

G.O.A.T. Nyashinski

G.O.A.T. - Nyashinski
[Chorus]
N-Y-A, S-H-I, N-S-K-I, I stay fly
G-O-A-T, that’s no lie
Nabaki T-O-P till I die (Mbaya, mbaya)

[Verse 1]
Mi siwadanganyi, bana
This time, umati imesha-decide
Wanati wana-legalise marijuana, yeah
Ni funny naona design nilianzishanga mki-rhyme
Ndio maana naji-describe kaa fundi wa ma-career
Ni nini kaa si divine?
Kutoka mahali tumetoka hadi kuji-find
Kwa keja zina master mbili, huyu mrasta ana akili
Na hamwezi zipima ata mkisimama na ratili over there
Really, niko fine, check thermometer
UG ishaamua since TZ iko na pombe wana-whine
Na si tuko busy, tunagombezana online mapang’ang’a
Saa hiyo nchi inachomeka na hatu-care
Siasa ni za tribal line
Streets ni mimi na jaba na ma-idle mind
Industry ilikuwa flat, kila vital sign
Tu-agree, comeback yangu ilikuwa right on time
Yeah

[Chorus]
N-Y-A, S-H-I, N-S-K-I, I stay fly (Uh-huh)
G-O-A-T, that’s no lie
Nabaki T-O-P till I die
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?