0
Kushoto Kulia - Harmonize
0 0

Kushoto Kulia Harmonize

Kushoto Kulia - Harmonize
Kushoto kulia
Kushoto kulia (Jeshi)
Kushoto kulia
Washa tochi ya simu sa tuone mwanga (Konde Boy)

Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kapandisha wazimu analicheza vanga

KondeBoy for everybody
My music dey shake your body
'Cause I do this for my people
I wanna hear you sing, ta la la la

Kikando kinanigadi
Nafasi naongeza idadi
Saluti kwa wanangu wa ghetto
Segelea okonga gwala gwala

Wasonipenda kazi wanayo
Eeeh, kazi wanayo
Mie sipigi genga pesa ninayo
Eeeh, pesa ninayo

Tunatia chenga wanafuata nyayo
Eeeh, wanafuata nyayo
Tunapiga denda wanapiga miayo
Eeeh, wanapiga miayo
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?