[Intro: Alikiba]
Yoh!
[Verse 1: Alikiba & Otile Brown]
Hivi upo single, ama ushawahiwa?
Mwendo na mitindo kama Rose Huntington
Shavuni hizo dimples hazijaniacha salama, mama
Ulivyo simple, haujapaka hata mascara
Nasema, eh eh eh
Ki face hana hata pimple, (Pimple)
Ndefu yake shingo, kiuno kama siti ya Lincoln
Macho 'yake kama ya Chinku
[Pre-Chorus: Alikiba]
Cause you are beautiful, mama
Me naomba tujuane
Baadae tuonane
Huenda tufaane
Huenda tupendane
Cause you are beautiful, mama
Oh, naomba tujuane
Baadae tuonane
Huenda tufaane
Huenda tupendane
[Chorus: Otile Brown & Alikiba]
I guess I'm in love, ah
I'm in love, I'm in love with you
I guеss I'm in love, now
I'm in love, in love with you
I guеss I'm in love, ah, ah
I'm in love, I'm in love with you
I guess I'm in love, ah, ah
I'm in love, in love with you
Yoh!
[Verse 1: Alikiba & Otile Brown]
Hivi upo single, ama ushawahiwa?
Mwendo na mitindo kama Rose Huntington
Shavuni hizo dimples hazijaniacha salama, mama
Ulivyo simple, haujapaka hata mascara
Nasema, eh eh eh
Ki face hana hata pimple, (Pimple)
Ndefu yake shingo, kiuno kama siti ya Lincoln
Macho 'yake kama ya Chinku
[Pre-Chorus: Alikiba]
Cause you are beautiful, mama
Me naomba tujuane
Baadae tuonane
Huenda tufaane
Huenda tupendane
Cause you are beautiful, mama
Oh, naomba tujuane
Baadae tuonane
Huenda tufaane
Huenda tupendane
[Chorus: Otile Brown & Alikiba]
I guess I'm in love, ah
I'm in love, I'm in love with you
I guеss I'm in love, now
I'm in love, in love with you
I guеss I'm in love, ah, ah
I'm in love, I'm in love with you
I guess I'm in love, ah, ah
I'm in love, in love with you
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.