0
Zezeta - Rayvanny
0 0

Zezeta Rayvanny

Zezeta - Rayvanny
Baby mooh
Nifanye big G unitafune
Ama niwe sindano
Nawe uwe uzi nguo nifume

Amaniwe ndoo
Uwe maji yangu na wanune
Nifanye kucha
Kama ukiwashwa mi nikukune

Sema mama
Niweduka la vipodozi
Nikuvutie kwa kila kitu
Chumbani uwe simu
Unalia hata nikiku beep

Nisimame kama kinyozi
Nikikunyoa unanisifu
Niwe godoro na shuka
Nilale na wewe kila usiku

Shika funguo gari ya bosi wangu
Kwako zezeta zezeta
Niko radhi nifunge ule wewe
Mimi zezeta zezeta
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?