[Intro]
Lala Lala Lala Lala Lala Lala
Lala Lala Lala Lala
Mmhhh! Mmhhh!
[Verse 1]
Namvuta Faraghani
Tumo Tumo Ndani
Namtazama Simuishi
Namkanda Mambavuni
Kayainua Majeshi
Vita Nichague Mimi
Aanze Bangladesh
Amalizie Sudan
Twanozana Hatosheki
Kaniweka Kifuani
Hatingishiki Haruki
Yuu Hoi Wa Taabani
Nampa Na Vya Kurithi
Na Mizungu Ya Kigeni
[Chorus]
Hakuna Kulala (Eeeh Eh!)
Hakuna Kulala (Lala Lala Lala)
Hakuna Kulala Asubuhi Itukute
Hakuna Kulala (Mi Na Weewe!)
Hakuna Kulala
Hakuna Kulala Na Machweo Yatukute
Lala Lala Lala Lala Lala Lala
Lala Lala Lala Lala
Mmhhh! Mmhhh!
[Verse 1]
Namvuta Faraghani
Tumo Tumo Ndani
Namtazama Simuishi
Namkanda Mambavuni
Kayainua Majeshi
Vita Nichague Mimi
Aanze Bangladesh
Amalizie Sudan
Twanozana Hatosheki
Kaniweka Kifuani
Hatingishiki Haruki
Yuu Hoi Wa Taabani
Nampa Na Vya Kurithi
Na Mizungu Ya Kigeni
[Chorus]
Hakuna Kulala (Eeeh Eh!)
Hakuna Kulala (Lala Lala Lala)
Hakuna Kulala Asubuhi Itukute
Hakuna Kulala (Mi Na Weewe!)
Hakuna Kulala
Hakuna Kulala Na Machweo Yatukute
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.