BBoy on the beat
Hmmm, yeah
Mikono juu na surrender
Acha dunia ijue muuni amependa
Wangapi waikuja wakaenda
Mbona ni wewee
Mwenzako nahesabu calendar
Siku masaa yanakwenda
Hebu fanya urudi nakupenda
Basi nielewee eeeh
Kitaniumbua kifo nikiyaficha maradhi
Sikujua before before kumpata unaempenda ndio kazi
Nimejaribu haka kawimbo kukuimbia
Pengine labda utakasikia
Ishara tosha kuwa najutia
Fanya unisamehe hi mambo ya ujana
Moyo unakufa ganzi nikifikiria
Mazito tuliyo yapitita
Yaliyou kufanya utaki ata nisikia
Bado nahisi ni kama jana
Hakuna aliye kamilika
Hata unae mdhani malaika
Bado anaweza kuwa shetani
Na ukasema bora mimi
Ndoto yangu bado haijafutika
Naamini siku itafika
Tumwite sheikh na ubani
Au tufunge ndoa kanisani
Hmmm, yeah
Mikono juu na surrender
Acha dunia ijue muuni amependa
Wangapi waikuja wakaenda
Mbona ni wewee
Mwenzako nahesabu calendar
Siku masaa yanakwenda
Hebu fanya urudi nakupenda
Basi nielewee eeeh
Kitaniumbua kifo nikiyaficha maradhi
Sikujua before before kumpata unaempenda ndio kazi
Nimejaribu haka kawimbo kukuimbia
Pengine labda utakasikia
Ishara tosha kuwa najutia
Fanya unisamehe hi mambo ya ujana
Moyo unakufa ganzi nikifikiria
Mazito tuliyo yapitita
Yaliyou kufanya utaki ata nisikia
Bado nahisi ni kama jana
Hakuna aliye kamilika
Hata unae mdhani malaika
Bado anaweza kuwa shetani
Na ukasema bora mimi
Ndoto yangu bado haijafutika
Naamini siku itafika
Tumwite sheikh na ubani
Au tufunge ndoa kanisani
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.