[Verse 1]
Ah
Oh, nimetembea tembea
Bara na visiwani
Ila nikajonea
We ndio my number one
Natamani nikupe ila sina...
Nimejaliwa upendo hajima...
Maneno yao matamu
Yasikuibe mama
Si unajua binadamu
Wabaya sana
[Refrain]
Wana wivu hao (hao, hao)
Wachonganishi hao (hao, hao)
Wana wivu hao (hao, hao)
Wachonganishi hao (hao, hao)
[Pre-Chorus 1]
Usije niacha kwa uyonge
Nachechemea
Utamu wa finyango na tonge
Ukanielemea
Usije niache kwa uyonge
Nachechemea
Utamu wa finyango na tonge ukala kwangu
Ah
Oh, nimetembea tembea
Bara na visiwani
Ila nikajonea
We ndio my number one
Natamani nikupe ila sina...
Nimejaliwa upendo hajima...
Maneno yao matamu
Yasikuibe mama
Si unajua binadamu
Wabaya sana
[Refrain]
Wana wivu hao (hao, hao)
Wachonganishi hao (hao, hao)
Wana wivu hao (hao, hao)
Wachonganishi hao (hao, hao)
[Pre-Chorus 1]
Usije niacha kwa uyonge
Nachechemea
Utamu wa finyango na tonge
Ukanielemea
Usije niache kwa uyonge
Nachechemea
Utamu wa finyango na tonge ukala kwangu
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.