0
Fresh Azimiz Remix - Longnus
0 0

Fresh Azimiz Remix Longnus

Fresh Azimiz Remix - Longnus
Verses
Nilipokuwa 8 age niliwaza mambo Mingi sana
Hata nisoyaweza nkajiwaza one day bwana
Kila kitu Prayers utayari juu na kuKazana
Hata nilipofall nilinyanyuka Na kutry tena

Haikuwa easy, kufanya track mingi na usiku ukichezwa wanakuskiza walinzi
I started my bussy, ili nifanye ya msingi effort online so ndo lugha ya siku izi
Nashangaza machizi, kwa plays za UG, mafans wako million enda check howwe biz
Wanagwaya Kichizi, Neezy son wa Wizzy, Maziko nnazofanya bei mbaya no machozi

Icon wa vijana nawainspire mpaka foreign
Narap mainjili hata baraka hunifata Amen
Howard billionaire big ka empire ya Roman
Kuna wakubisha hii??? Mmmh! No man

Sing
Niko unique mno Siendi mahali that you goin'
Utarap ka mi ila huwezi kuwa mi man
Instead of kucheza utapoteza hata muda man
I'm telling you fact budda hujiwezi no joking

Giant, Independent still gettin' paid
You sick with my name I think you know why
Plug, nimeconnect every city i touch
You lack some ability huwezi identify
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?