0
Falling In Love - Rayvanny (Ft. Nadia Mukami)
0 0

Falling In Love Rayvanny (Ft. Nadia Mukami)

Falling In Love - Rayvanny (Ft. Nadia Mukami)
Utamu wa mapenzi
Sitamani uishe
Sitamani ukatike
Tusifike mwisho
Mmh deka mapenzi
Ukitaka nikulishe
Na pete nikuvishe
Mi nawe mpaka kifo
(Motif di don)

Nime amua, moyo umekuchagua
Hakuna wakusumbua, mimi ni wako
Mmh naomba dua, penzi lizidi chanua
Na lisiache kukua, nibaki kwako

Malaika wamefananisha
Uzuri usio jificha
We wangu wa maisha
Malaika wamefananisha
Uzuri usio jificha
We wangu wa maisha

I've fall in love, fall in love
I’ve fall in love, fall in love

Tabasamu lako (lakoo)
Midomo macho (machoo)
Upendo, huruma umezawadiwa
Tamu tamu yako (yakoo)
Sitoki kwako (kwakoo)
Mapendo huduma umejaliwa
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?