
Sikutambui Wakadinali
На этой странице вы найдете полный текст песни "Sikutambui" от Wakadinali. Lyrxo предлагает вам самый полный и точный текст этой композиции без лишних отвлекающих факторов. Узнайте все куплеты и припев, чтобы лучше понять любимую песню и насладиться ею в полной мере. Идеально для фанатов и всех, кто ценит качественную музыку.

Big Beats Afriq
[Verse 1: Scar Mkadinali]
For real
Mbona ni nyinyi nawawasha
Nikikula nyama choma tufirifiri na Tusker
Bro amejituma ako kazini anaisaka
But anajua bibi yake anafanya nini Naivasha?
Woi! Aki si Kenya kuna content
Nashindwa nidunge chain gani so nazidunga zote
Anataka nimwage ndani mi namwaga kwa matope
Si hubonga kilami tukitaka ganji itoke
Normally shembeteng, mamolly kwa Heineken
Mon Ami, you're my friend, we got rich in the ends
Tulimtupa kwa boot si tulimtrace na magun
Ka huamini tuko lose ulize **** aling'am
Si ni maburglar for sure na hii si siri
Balaclava huezi nijua kwa CCTV
Bro nikimwambia haskii na ye' si kiziwi
Ka si biz utanipata nimesare sikimbizi
[Chorus: Domani Munga]
Kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii
Speed flani shwaa, boxer Kawasaki
Njege masanse hawatutaki
Ka hunitambui sikutambui
Wazing wako na whaps ka unang'am
Na mawhaps ka unang'am
Na mawhaps ka unang'am, na una—
Wazing wako na whaps ka unang'am
Na mawhaps ka unang'am
Na mawhaps ka unang'am, na una—
[Verse 1: Scar Mkadinali]
For real
Mbona ni nyinyi nawawasha
Nikikula nyama choma tufirifiri na Tusker
Bro amejituma ako kazini anaisaka
But anajua bibi yake anafanya nini Naivasha?
Woi! Aki si Kenya kuna content
Nashindwa nidunge chain gani so nazidunga zote
Anataka nimwage ndani mi namwaga kwa matope
Si hubonga kilami tukitaka ganji itoke
Normally shembeteng, mamolly kwa Heineken
Mon Ami, you're my friend, we got rich in the ends
Tulimtupa kwa boot si tulimtrace na magun
Ka huamini tuko lose ulize **** aling'am
Si ni maburglar for sure na hii si siri
Balaclava huezi nijua kwa CCTV
Bro nikimwambia haskii na ye' si kiziwi
Ka si biz utanipata nimesare sikimbizi
[Chorus: Domani Munga]
Kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii
Speed flani shwaa, boxer Kawasaki
Njege masanse hawatutaki
Ka hunitambui sikutambui
Wazing wako na whaps ka unang'am
Na mawhaps ka unang'am
Na mawhaps ka unang'am, na una—
Wazing wako na whaps ka unang'am
Na mawhaps ka unang'am
Na mawhaps ka unang'am, na una—
Комментарии (0)
Минимальная длина комментария — 50 символов.