[Intro]
Yeah, yeah
[Chorus]
Yeah, glory si hupea God, lawama, shetani na bangi
Ma-member hurudi home, na-hope pastor anaenda na ganji
Small talk yuu hukuwa job, ubaya ni hailipangi (Yeah)
Nime-maintain, najisikizia, msiniite kaa hamnikanji
[Verse 1]
Hii ni miracle, baby, naona ni kaa mnani-dare
Mahali nilikuwa, mi sikuwa ata na-care (Uh)
Pembe zao zikaanza kumea
Saa wakinitaja, nakuwanga aware
Clout wanatafuta, naweza wapea
Lakini sitaki, so siwapei, wata-learn kujitegemea
Usi-confuse ile ujuaji nakuona nayo na confidence
Kama usha-change na unapewa lift, sijui utakuwa nani uki-buy ki-Benz
Kaa usha-forgive, usiwahi revenge
Kaa huwezi swim, usi-dive deep end
We ji-convince unafanya kazi, mi niko kazi, we jali ku-trend
I’m dope like who you imagine you’re dope like
Who you’re discussing at home like
Take over game bila cosign, most of my day niko offline
Na-live life wana-rap (Yeah)
FYI, sina WhatsApp, but kuna wi-fi na kuna bag so

Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.