[Intro: K. Sher]
Ooh ooh ooh ooh ooh ooh...
(A-A-A, AM Records)
Ah ah ah ah ah... (ah ah ah ah ah ah ah)
Hey... (ah ah ah ah ah ah)
Oh oh oh oh oh...

[Verse 1: K. Sher]
Nimekuja ka vipi jibu utanipa
Mapenzi yako wapi ulohidi utanipa
Furaha kwangu imegeuka karaha
Uongo kwako umegeuka ukweli, baba...

[Pre-Chorus: K. Sher]
Ukweli ndio msingi wa maisha
Uongo ni kikwazo cha maisha
Furaha ndio raha ya maisha
Huzuni ni karaha ya maisha, baba...

[Chorus: K. Sher]
Nimechoka
Nimechoka...
Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh...
Nimechoka
Nimechoka...
Kwanini unanidanganya, danganya, danganya? Eh...
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?