0
Anguka Nayo - Wadagliz KE
0 0

Anguka Nayo Wadagliz KE

Anguka Nayo - Wadagliz KE
[Verse 1]
Tushaskia tukiingia ni kublast
Hukuanga bad unachukuliwa madam so
Anguka nayo itabaki umeflow na vibe
Anguka nayo ka uko single for now, eh
Mdagi mdagliz mteja hapatikani
Ati late night saa sita ndio utaniwai
Nikupin location na niko far na Nai
Si ukate call niko chuom mbaya G
Mi najua utakuom it is what it is
Acha nikushow kwanza form ya kidon
Nishashika mpoa na twende chini kwa chini
Akiwa adi na mini sai tunaskiza Shin City
Tunafeel free take a video na upost pale NGC
Jina ni Kantel kurap si ni talent G

[Chorus]
Anguka nayo, eh, ati
Anguka nayo, cheki
Anguka nayo twende down low nao
Stand up to your feet
Mikono juu alafu click
Tuliza pace alafu one lege
Anguka nayo, one lege, eh
Anguka nayo, ati
Anguka nayo, ati, eh
Anguka nayo
Anguka nayo
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?