[Intro:]
Well You See Love, Makes You Do Crazy Things
Ask My Shoes, Uliza kiatu
And What I Went Through To Buy You Those Rings
Ask My Shoes, Uliza Kiatu
Masaibu, Ninayoyapitia, Kukupeleka Dinner
Uliza Kiatu
Na Gatheri, Ninavyokatafuna, Eti Ndio Ukule Burger, Pizza
Uliza Kiatu
[Chorus:]
Ask My Shoes, Ask My Shoes
Uliza Kiatu, Uliza Kiatu
[Verse 2:]
Nimekopa Nikupe, Kumbe We Ndio Kupe
Nangangana Ndio Tule, Juhudi Zangu Bure
I Heard That Love Should Always Make Us Strong
But Now I Feel I Think That They Were Wrong, Ask Me Why
Nasema Taxi Nilipe, Rent Mi Nikupe
Nywele Zisongwe, Mombasa Si Twende
Mapenzi Nikupe, Mpaka We Uridhike

Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.