0
Mpaka Kesho - Harmonize
0 0

Mpaka Kesho Harmonize

Mpaka Kesho - Harmonize
(Its Bonga)

Hello, Hello baby
Mmmh mmmh

Natamani niandike barua na niitume kwako
Ila nahisi hutaisomaa, utaikataa
Hata simu nitajisumbua, kupiga namba yako
Maana hata ukiiona, utaikata

I wish yawe ndoto, haya ninayo yapitia
Ama nirudi utoto imenisonga dunia
Eti kurwa bila ndoto, hivi ni wapi ntaanzia?
Kulia bila kushoto, sijawai kusikia

Eeh, imagine siwezi kukuota (Aaah aah aah)
Maana ata usingizi sina (Sinaa)
Mwenzako wataniokota (Aaah aah aah)
Maji yamenizidi kina (Mwenzenu mimi)

Mpaka kesho, eeh eeh
Mpaka kesho, umeniganda mawazoni
Mpaka kesho, bado nakuwazaa
Mmh mmh eeh

Mpaka kesho, Yaani mawazo kizunguzungu
Mpaka kesho, Insta napaona pachungu
Mpaka kesho, Mateso nihurumie, bado nakuwaza
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?