[Intro: Rayvanny, Diamond Platnumz, Jux]
Oh lo lo lo lo lo
Chui
Yaya yaya yaya (We Zombie)
Yaya yaya ya (Haujui)
Yaya yaya yaya (S2Kizzy baby)
(Bad man)
Yaya yaya ya (ni Simba na ma Simba Dangote)
Yaya yaya yaya
Yaya yaya ya
Yaya yaya yaya
Yaya yaya ya

[Verse 1: Rayvanny]
Eh, najua na madeni
Na matatizo ya kodi
Ila pesa ya pomba na shisha sikosi
Najua na vipengele
Watu wanapiga hodi
Ah, ila kuhonga mademu wazuri sichoki
Eh eh eh

[Pre-Hook: Rayvanny, DJ Ally Bi]
Kama umemchoka Tuachie sisi (Nasemaje)
Tumle paka mifupa sisi ndio mafisi (Wewe)
Kama umemchoka Tuachie sisi (Asumani)
Tumle paka mifupa sisi ndio mafisi
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?