0
I Love you - Rayvanny
0 0

I Love you Rayvanny

I Love you - Rayvanny
Ilikuwa safari ndefu yenye mateso
Machozi mizigo vikwazo
Ila yote umenitua

Naomba penzi letu lisife kesho
Ukanipa pressure mawazo
Chonde mama utaniua

Na vile hujui kununa fundi wa kudeka
Hata sijakutekenya unacheka
Ooooh tambua ushaniteka
Hata bila chakula nanenepa, my love

Salama nikiwa na wewe
Hata kama nina shida nasahau
Sura kama malaika
Na wala hauringi kwa dharau

Lawama acha nipewe
Nitoke duniani angalau
Kuliko ukakanyanyasika
Ila mpenzi usisahau

Mi ooh oh, I, mi amor, I
My Love, I, te amor, I
I love you I love you
Baby I love you, I love you
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?