[Intro]
Huyu msee anataka kurap hivi?
Ai ngumu...
Yoh waddup waddup Aress.. 66
Man Wakadinali again au sio?
Mafans bado mpo? Hatupo Hatujali nini..
[?] kumamaye au sio
Uh uuuh!
[Chorus]
Pima poa, hii chingri naineed jo kuimochoa
Pima poa, hadi kimonyoski jo ya kutoa
Pima poa, ukiuza mboiyoi Buru umesota
We pima poa, hio price ieke chini
Bro ameng'ora
Pima poa, hii chingri naineed jo kuimochoa
Pima poa, hadi kimonyoski jo ya kutoa
Pima poa, ukiuza mboiyoi Buru umesota
We pima poa, hio price ieke chini
Bro ameng'ora
[Verse 1: Domani Munga]
Tuma kakitu hadi ya kutoa acha izo
Msee ashai niondolea eh G.O.A.T kutoa hizo matatizo
Johnsaga na mogoka, bob saba ndani ya boxer
My mummzy ni Wabosha, mi na Maxine kwa taxin naororia
Tripo ni ya Umoja but nawamake-ia nuclear program
Nyi ni waoga na Munga ndo mganga anawashinda kuroga
Maji ya kuoga, siku hizi nawauzia thao moja
Mi ni topsweeter ,Munga mi ni volatile
Rudi salon kaa na wamama, we ni paedophile
Lighter jo ni Kifaru, chargie akisha roach inferno
Kisha Doch ni ballot, leo duvai ni ngano
Chingri leo ni mano, we ni diva, we ni bro wa Chimano
Hio leave alone, hio ni mfano
Pia kuna bidhaa zenye ni mchina ziti
Zote huwanga round but usicompare-e Big G na minji
Usiwai compare Di Shiti na Meechie

Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.