Yumba eeh
Yumba yaani Darassa na KondeBoy
(255 Champion boy, Classic)
Yumba, Yumba
Aga nikiwind my beiby
Jipinde pinde kama kama nyoka
Pinda mgongo unibebe
Nisije nikadondoka
(Ooh nah nah nah nah)
Njiani napita pita samahani sister
Macho kama unaniiita yamekolea shisha
Mwaga mapicha picha yasambae Insta
Yaani kesho kukicha jana kama vita
Suruali pale viatu kule
Usilale lale kaa mkao tule
Njoo tukufunze kozi ambazo huwezi kupewa shule
Njoo nikutunze baby huwezi kufanya kazi ya bure
Ukiwa na King agiza tu utaletewa
Ukiwa queen kwenye joto utapepewa
Jiongeze jiongeze nishanogewa
Napenda kuyumba yumba nishalewa
Yumba yaani Darassa na KondeBoy
(255 Champion boy, Classic)
Yumba, Yumba
Aga nikiwind my beiby
Jipinde pinde kama kama nyoka
Pinda mgongo unibebe
Nisije nikadondoka
(Ooh nah nah nah nah)
Njiani napita pita samahani sister
Macho kama unaniiita yamekolea shisha
Mwaga mapicha picha yasambae Insta
Yaani kesho kukicha jana kama vita
Suruali pale viatu kule
Usilale lale kaa mkao tule
Njoo tukufunze kozi ambazo huwezi kupewa shule
Njoo nikutunze baby huwezi kufanya kazi ya bure
Ukiwa na King agiza tu utaletewa
Ukiwa queen kwenye joto utapepewa
Jiongeze jiongeze nishanogewa
Napenda kuyumba yumba nishalewa
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.