0
Triple XL - Wakadinali
0 0

Triple XL Wakadinali

Triple XL - Wakadinali
[Intro]
According to Kiambu police county commander Edwin Njagi, a gun is linked to the killing of two police officers in Kibichoi area of Githunguri, last week
(Big beats Afrvk)
Afrvka

[Chorus: Domani Munga]
Tripple XL ndio jacket nimego local sijaiskia joto
Mi ndio niliplan hizo koto mans I made it bila kucheza Lotto
Wako tuned mafans FM ya Inooro
Off time ya roadshow napiga kigosho
Team kuiondoa kwa msoto is valid lazima nitimu hiyo ndoto
Tripple XL ndio jacket nimego local sijaiskia joto
Mi ndio niliplan hizo koto mans I made it bila kucheza Lotto
Wako tuned mafans FM ya Inooro
Off time ya roadshow napiga kigosho
Team kuiondoa kwa msoto is valid lazima nitimu hiyo ndoto

[Verse 1: SewerSydaa Mkadinali]
Mans nilipitia kando na wasoro washaandika journal
Ati mans nimegeuka Thanos kila hustle naingiza muscle
Nyongolo kwa dance floor, next thing, gunshot
Tulimtoka tu viclean before shit joh i-get real
Hatunanga saa, ata minute si ni team no sleep
Pills flani zimerunda mgyalis huko Paris, Njeri ashakuwa addict
Friday clubbing Sunday tunaona Padre
Sai tunangoja verdict ati ju ya gun tulicarry
Though according to ballistics, inaonyesha joh ulimiss hit
Na unachocha body count ati imеfika sitini
CID walicause kipindi, ati walikuwa wamekujia mwili
Opp boy DCI walikushow uchezе chini
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.
Information
There are no comments yet. You can be the first!
Login Register
Log into your account
And gain new opportunities
Forgot your password?