In this world nobody is perfect
We all do mistakes so forgiveness is all we have
And we only got one life here on this earth
This one for you, for you you you
Mi ni mwanadamu sijakamilika
Hadi siku ya mwisho wataponizika
Usisahau Zuu hana kosa malaika
Chonde unisamehe
Busara zako na upole kadhalika
Haki ni wazi haviwezi vikavunjika
Najua hayazoleki yakimwagika
Baby unisamehe
Namaliza wiki, nyumbani sifiki
Simu zako sishiki, busy na marafiki
Ona aki ni wazi ulinivumilia vipi
Tena vyenye dhamani kushinda shilingi
Ni wazi siwezi kupinga
Maana mi ni mwanadamu
Na inatokea kuteleza
Ila ningeonekana mjinga
Ningeikana damu
Naamini hata Mungu
Isingeweza kumpendeza
We all do mistakes so forgiveness is all we have
And we only got one life here on this earth
This one for you, for you you you
Mi ni mwanadamu sijakamilika
Hadi siku ya mwisho wataponizika
Usisahau Zuu hana kosa malaika
Chonde unisamehe
Busara zako na upole kadhalika
Haki ni wazi haviwezi vikavunjika
Najua hayazoleki yakimwagika
Baby unisamehe
Namaliza wiki, nyumbani sifiki
Simu zako sishiki, busy na marafiki
Ona aki ni wazi ulinivumilia vipi
Tena vyenye dhamani kushinda shilingi
Ni wazi siwezi kupinga
Maana mi ni mwanadamu
Na inatokea kuteleza
Ila ningeonekana mjinga
Ningeikana damu
Naamini hata Mungu
Isingeweza kumpendeza
Comments (0)
The minimum comment length is 50 characters.